■Msaada wa utafiti wa soko kwenye internet ; First Brain


Utumie huduma yetu isiyo na kifani ambayo inakusaidia tovuti yako yoyote iwe na maendeleo. Tutakuwa nawe na uhusiano wa kibinadamu na wa kudumu tukikutoa shauri tunalokufikiria sana hiari yako au ya kampuni yenu.

●    Malengo yetu ya kuongeza watazamaji wa tovuti yako

Tuna malengo ya kushirikiana nawe kwa muda mrefu, kwa hiyo tutawasiliana sana ili tujuane vizuri. Tutaendelesha vitu kama vifuatavyo tukitumia viungo vya tovuti vya kuongeza watazamaji, injini za kutafuta tovuti tunazokusanya sisi wenyewe n.k.;

・    kuandikaandika kwenye huduma za ubao wa matangazo(BBS)

・    kuomba uandikishwe kwa injini ya kutafuta tovuti ya kila aina

・    kupata ruhusa ya kuuza kwenye madukamaduka ya internet(hasa bila ya malipo)

・    kuomba usajiri wa kiungo cha kujipelekesha tovuti

・    kuomba tovuti yako itangazwe kwenye magazeti ya barua pepe

・    kutumatuma ujumbe kwa barua pepe ikilenga watazamaji fulani   n.k.


Pia tutakujulisha namna nyingine za kuwavutia watazamaji zaidi

  ●    Tuulize kuhusu habari zaidi unazotaka kujua, malipo, huduma ya kutafsiri lugha na kadhalika, tutakuitikia kibinafsi.

---------------------------------------------------------------------

First Brain ( Tangu 17, Jan, 1990 )

Anwani ; Oomachi98, Mizusawa-shi, Iwate-ken, 023-0045, Japan

Mkurugenzi ; Hishitani Yoshiaki

Tovuti yetu ; http://www.first-brain.com/

Simu ; 81-197-23-2726/81-197-22-2782/81-90-1935-4206

Fax ; 81-197-22-2782

Barua pepe ; info@first-brain.com

                  ordingrp@rnac.ne.jp

                  ordingrp@c6.ezweb.ne.jp

YahooMessenger ; ordin7802

---------------------------------------------------------------------


 <Rudi mwanzo wa First Brain>